Inasemekana kwamba Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ndiye aliyemshauri Nasibu Abdul ‘Diamond’ asioe kwa sasa ili asishuke kimuziki.
Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’Ushauri huo umekuwa mwiba kwa mpenzi wa Diamond, Wema Sepetu ambaye amekuwa na ndoto yakuolewa na staa huyo anayekimbiza kitaani na wimbo wake wa Mdogomdogo.
Akifafanua zaidi kuhusiana na ushauri huo, Nay alisema:
“Kuna mifano mingi sana nimeiona kutoka kwa wasanii ambao wameoa, wengi wao wameshasanda sasa mdogo wangu (Diamond) na yeye alipoleta hoja ya kutaka kuoa nikaona sasa anatafuta shimo la kwenda kujifukia, nikamshauri aache.”
Wema Sepetu akiwa na mpenzi wake 'Diamond Platnumz'.
Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’Ushauri huo umekuwa mwiba kwa mpenzi wa Diamond, Wema Sepetu ambaye amekuwa na ndoto yakuolewa na staa huyo anayekimbiza kitaani na wimbo wake wa Mdogomdogo.
Akifafanua zaidi kuhusiana na ushauri huo, Nay alisema:
“Kuna mifano mingi sana nimeiona kutoka kwa wasanii ambao wameoa, wengi wao wameshasanda sasa mdogo wangu (Diamond) na yeye alipoleta hoja ya kutaka kuoa nikaona sasa anatafuta shimo la kwenda kujifukia, nikamshauri aache.”
Post by KeeZy Platnums.