Agnes Masogange ameonekana akiwa ametupia Passport ya S.A, kitu ambacho wengi walikitafsiri kwamba sasa video vixen huyo ni raia wa nchi hiyo.
Aug 03, Agnes aliweka picha ya Passport ya Africa Kusini
ikiambatana na alama ya wapenzi wawili ikiashiria sababu ya kupata
kibali hicho. Baadae akaweka picha na caption ya jina lake jipya:
“My new name is Thando, not Agnes anymore.” aliandika mrembo huyo mwenye ‘figa’ matata.
Agnes Masogange
“My new name is Thando, not Agnes anymore.” aliandika mrembo huyo mwenye ‘figa’ matata.
Post by KeeZy Platnums.