Mtalam III Mtalam III Author
Title: Diamond ashirikishwa na msanii mkali kutoka Nigeria, kufanya pia collabo na msanii mkubwa kutoka Marekani
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Mshindi wa tuzo saba za KTMA, Diamond Platnumz anazidi kufanya vizuri kimataifa. Baada ya kufanya collabo nyingi na wasanii wa Afrika, sasa...
Mshindi wa tuzo saba za KTMA, Diamond Platnumz anazidi kufanya vizuri kimataifa. Baada ya kufanya collabo nyingi na wasanii wa Afrika, sasa kaa tayari kusikia nyingine kutoka kwa mkali ya Nigeria.
Diamond & KCEE

KCEE anayetamba na nyimbo kama Limpopo na Pull Over ndiye msanii aliyeomba kufanya collabo na Diamond Platnumz. Pia mkali huyo BongoFlava amesema ana Project nyingi ila hayupo tayari kuzitaja kwa sasa.

Unaambiwa kabla mwaka huu haujaisha, tutamsikia Diamond katika nyimbo alizoshirikiana na wasanii mbalimbali, sio tuu Afrika, atatoa na zawadi ya wimbo ambao amemshirikisha msanii mkubwa wa Marekani.

Author

Advertisement

 
Top