Nicki Minaj amesogeza mbele tarehe za kuutoa wimbo wake ‘Anaconda’ ambao ulitarajiwa kutambulishwa rasmi wiki hii. Wimbo huo unasubiriwa kwa hamu hasa baada ya Artwork hii yenye utata kuzungumziwa zaidi kwenye mitandao.
Rapper huyo wa Young Money ameshare picha tata zaidi za wimbo huo kwenye Instagram na kuandika ujumbe kuwa wimbo huo utatoka Jumatatu, August 4 mwaka huu.
“My darlingz, I've pushed the release of Anaconda to next week, Monday 8/4. I promise you will understand why before the week is out. Loveeeeeeee uuuuuu.” Ameandika Nicki Minaj.
Picha za utambulisho wa Anaconda zimekuwa gumzo kwenye mitandao huku zitoa marufuku ama angalizo kwa wazazi kuhakikisha watoto wao hawazioni. Habari hii imeandikwa pia na timesfm.co.tz.
Nicki Minaj