Mtalam III Mtalam III Author
Title: Picha: Umependa jinsi Wema Sepetu na Ommy Dimpoz walivyovaa?
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Wema Sepetu ambaye ni mpenzi wa miaka nenda rudi wa Diamond ni mwanamke mwenye nyota ya kupendwa sana na watu. Licha ya kupenda uigizaji wa...
Wema Sepetu ambaye ni mpenzi wa miaka nenda rudi wa Diamond ni mwanamke mwenye nyota ya kupendwa sana na watu. Licha ya kupenda uigizaji wa Filamu, mwanadada huyo aliyewahi kuwa Miss Tanzania pia anapenda kuwa na muonekano poa.
Wema Sepetu na Ommy Dimpoz

Ommy Dimpoz naye ni Msanii wa Bongoflava mwenye mafanikio ambaye pia ni rafiki mkubwa wa Diamond. Sasa hapa wamekutana mtu na shemeji yake, wanajua na wanapenda kuvaa. Tazama picha hizi hapa zilizopigwa siku ya Eid:



Author

Advertisement

 
Top