Do yall have anything to say bout Gosby??? No no noooo, unless you talk about his new video! Rapper mwenye swagg za kutosha, Gosby ameachia kichupa chake cha BMS (Baby Makin Swag) juzi kati.
Video imefanywa na E-Media, na kama bado hujaiona hii ndio nafasi pekee ya kuitazama! Video kali sana, S/O to Gosby na E-Media!!! You can watch it here!