Sitaki kuzunguka saaana, acha tuu nianze kusema kwamba sijawahi kuona video kali iliyotengenezwa hapa Bongo kama hii ya wimbo huu wa Nikki wa Pili, Joh Makini na G-Nako, Nje ya Box! Naamini uzuri wa video hii utauibua wimbo huo ambao ulianza kufifia kabisa.
Video hii imeidirect Nisher huku script ikiwa imeandaliwa na Joh Makini, Nikki wa Pili na G-Nako mwenyewe. Ukiangalia tuu najua utatoa comment moja tuu, kwamba “hii ni video kali sana.”
Watch the video and share with others!