Keezywear Editor Keezywear Editor Author
Title: Lil Wayne is Back: Atangaza tarehe rasmi ya kuachia album yake mpya ‘Tha Carter V’
Author: Keezywear Editor
Rating 5 of 5 Des:
Rapper wa Young Money, Lil Wayne anatarajia kuachia Album yake ya Tha Carter V mwaka ikiwa ni zaidi ya iaka miwili tangu atoe alnbum yake y...
Rapper wa Young Money, Lil Wayne anatarajia kuachia Album yake ya Tha Carter V mwaka ikiwa ni zaidi ya iaka miwili tangu atoe alnbum yake ya Tha Carter IV ambayo ilishika nafasi ya kwanza kwenye chati za Billboard.
Rapper Lil Wayne kwenye Stage

Lil Wayne alitangaza siku atakayoachia Album hiyo kwenye tamasha la Drake lililofanyika siku ya Valentine wiki iliyopita.

Licha ya kuwa kimya sana, mashabiki wanatarajia Lil Wayne atakuja vizuri kama kawaida yake.

Author

Advertisement

 
Top