Mtalam III Mtalam III Author
Title: Nonini kuja na wimbo mpya ‘Kukachora’ aliomshirikisha Chege Chigunda
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Nonini: Kuna Projects mingi nimefanya na ndugu yangu Chege Chigunda toka long time. Na 2015 hi mojo kati ya project Kadhaa tumefanya pamo...
Nonini:
Kuna Projects mingi nimefanya na ndugu yangu Chege Chigunda toka long time. Na 2015 hi mojo kati ya project Kadhaa tumefanya pamoja ndani ya Studio ya Bruce Odhiambo (Johari Cleff). Hii nyimbo mpya yaitwa Kukachora ambaye producer ni Dillie na kisha imekua mixed and mastered by Musyoka of Decimal Records.
Nyimbo yenyewe inazungumza na jamii sana sana vijana kueza kuwaelimisha kuhusu kupanga au kuPlan maisha vizuri kwa ufupi Kukachora. 

People sometimes take you for granted with steps you make in life thinking that it just happened. No it didn't just happen first you need Gods favor then lazima Kukachora kwa ujanja na ku avoid mambo mbili tatu yale yanaangusha vijana skuizi. Kila mtu yuko na story yake pali alitoka and its time we start telling these stories in our music to be mentors/motivators and most importantly role models in the society. 

But end of the day once your doors have been opened never forget to do the same to the next person and let it be a ripple effect and pole pole we can change the World. Give back kwa community/Kwa Society. Na hio ndio Kukachora!!!

Whats your story?

Author

Advertisement

 
Top