Diamond na D’Banj pamoja
“Busy day😥....Studio session with King D'Banj... Cc @iambangalee”.
Kabla ya picha hii, Diamond alipost picha akiwa na AY kwenye ndege kuelekea Joburg, Afrika Kusini. Mwana FA, Ay na Diamond Platnumz wanaiwakilisha Tanzania kwenye project ambayo inahusisha kwa pamoja Wasanii mbalimbali kutoka Afrika.