Msanii wa Bongo flava, Young Killa
Young Killa awasifu Wanajeshi baada ya kumfanya hivi
Kupitia kipindi cha XXL ya Clouds Fm kwenye ile Section ya You Heard, Young Killa alifunguka kwa urefu kuhusu alichofanyiwa na Jeshi la Wananchi TZ.
Young Killa ambaye anakiri kwamba alipenda sana Pensi ambayo alivuliwa na wanajeshi hao huko Mwanza, alihadithia mkasa kamili kwenye kipindi hicho. Sikiliza hapa: