Keezywear Editor Keezywear Editor Author
Title: Hamisa Mobeto: ‘Kamwe siwezi kutembea na Diamond na haitatokea’
Author: Keezywear Editor
Rating 5 of 5 Des:
Mrembo anayedaiwa kuliingilia penzi la staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, aliyewahi kushiriki Shindano la...
Mrembo anayedaiwa kuliingilia penzi la staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, aliyewahi kushiriki Shindano la Miss Tanzania, Hamisa Mabeto amefunguka kuwa mwanamuziki huyo ni shemeji yake tu, hakuna chochote kati yao.
Mwanamitindo (model) wa TZ, Hamisa Mobeto

Hamisa alisema alistaajabu kwani hana mazoea na Diamond Kama ni kuonana waliwahi kuonana miaka ya nyuma, tena siyo kimapenzi.

“Kamwe siwezi kutembea na Diamond na haitatokea kwani jamii nzima inajua yupo na Wema na mimi huyo mtu ni rafiki yangu mkubwa, hana chake hapa, siwezi kutembea naye kamwe, namheshimu kama shemeji yangu,” alimaliza Hamisa. Habari  hii inapatikana pia kwenye bongo5.com (source).

Author

Advertisement

 
Top