Mtalam III Mtalam III Author
Title: Ben Pol afunguka kuhusu ushawishi wa nyimbo zake kwa washindi wa EBSS
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Jana kulikuwa na Fainali za lile shindano la kusaka vipaji, Epiq Bongo Star Search ambazo zilirushwa moja kwa moja na kituo cha TBC1, amba...
Jana kulikuwa na Fainali za lile shindano la kusaka vipaji, Epiq Bongo Star Search ambazo zilirushwa moja kwa moja na kituo cha TBC1, ambapo Emmanuel Msuya kutoka Mwanza aliibuka mshindi wa kitita cha Tsh. Mil 50.
Kilichowashangaza wengi, hata mimi pia ni jinsi Ben Pol alivyo na ushawishi mkubwa sana kwa washindi wa EBSS, mwaka jana Walter Chilambo alibebwa sana na nyimbo za msanii huyo na akashinda na mwaka huu imejirudia kwa Emmanuel msuya.

Kupitia akaunti yake ya Twitter, Ben Pol alifunguka ifuatavyo mara baada ya mshindi kutangazwa:



Matangazo | Click them for more details:

• Simu aina ya HTC Desire S ‘S510E’ inauzwa kwa bei nafuu
• Tablet aina ya ‘Swag Tab - Expert 102’ Inauzwa kwa bei nafuu
• Simu aina ya ‘Nokia N9’ Inauzwa kwa bei nafuu

Like Keezywear on Facebook!

Author

Advertisement

 
Top