Mwigizaji wa filamu nchini Marekani, Paul Walker amefariki dunia kwa ajali mbaya ya gari. Inaaminika kwamba gari hiyo aina ya Porsche GT ilikuwa inaendeshwa na rafiki yake ambaye alipoteza mwelekeo na kugonga taa ya barabarani na mti na kusababisha kifo cha Paul Walker na yeye mwenyewe.
Paul Walker alisifika sana kutokana na uigizaji wake kwenye filamu za muendelezo za Fast & Furious (ameshiriki kwenye filamu hizo tano katika sita zilizotoka). The Late Paul Walker ameacha mtoto mmoja wa kike mwenye miaka 15. Tazama picha za gari hilo baada ya kupata ajali hapa:
• Tablet aina ya ‘Swag Tab - Expert 102’ Inauzwa kwa bei nafuu
• Simu aina ya ‘Nokia N9’ Inauzwa kwa bei nafuu
Paul Walker alisifika sana kutokana na uigizaji wake kwenye filamu za muendelezo za Fast & Furious (ameshiriki kwenye filamu hizo tano katika sita zilizotoka). The Late Paul Walker ameacha mtoto mmoja wa kike mwenye miaka 15. Tazama picha za gari hilo baada ya kupata ajali hapa:
Matangazo | Click them for more details:
• Simu aina ya HTC Desire S ‘S510E’ inauzwa kwa bei nafuu• Tablet aina ya ‘Swag Tab - Expert 102’ Inauzwa kwa bei nafuu
• Simu aina ya ‘Nokia N9’ Inauzwa kwa bei nafuu