Kabla ya kuiachia video hii rasmi juzi, Wakazi aliifanyia uzinduzi wa kufa mtu pale Nyumbani Lounge. Video hii ya Touch imefanywa Afrika Kusini chini ya Director Turas.
Artist: Wakazi.
Song: Touch.
Watch it here » KeezywearTV!
Artist: Wakazi.
Song: Touch.