Kupitia ukurasa wa Instagram Huddah aliandika ujumbe kwenda kwa Diamond unaoonesha kubariki penzi lao huku akiweka picha ya Wema Sepetu.
Huddah amemwandikia Diamond kwamba Wema ndiokipenzi cha maisha yake (Diamond) na kwamba asiruhusu mtu amwambie vinginevyo. Na kuongeza hao wengine ni wapita njia tuu. Soma hapa alivyoandika:
“Huyu Dame wako, kipenzi chako. For life, let nobody tell u otherwise. Hao wengine wapita njia tuu. God bless the two of u. RIP to her dad, I know how it feels to lose someone so dear to u. Take heart Ms Boss. I heart you!”