Keezywear Editor Keezywear Editor Author
Title: Salama Jabir ataja sababu ya yeye kupewa kazi na Madam Ritta
Author: Keezywear Editor
Rating 5 of 5 Des:
Salama J amekiri kwamba kitu kilichomfanya apewe kazi ya Ujaji kwenye Bongo Star Search ni kitendo cha kumponda Madam Ritta Paulsen . Aki...
Salama J amekiri kwamba kitu kilichomfanya apewe kazi ya Ujaji kwenye Bongo Star Search ni kitendo cha kumponda Madam Ritta Paulsen. Akiongea katika kipindi cha XXL hivi karibuni, Salama J alisema kuwa alimponda Mkurugenzi huyo wa Benchmark Prod. wakati akiwa anahost kipindi cha Planet Bongo miaka ya nyuma.

"Niliponda video moja hivi iliyotengenezwa na kampuni ya Madam Ritta ,alivyosikia kwamba nimeponda hiyo video, akaomba clip ya kipindi changu na baada ya hapo akaniita akanipa kazi... nilidhani ananiitia kuhusu kum-diss kwangu! Hatimaye alinipa kazi hadi leo hii tunafanya kazi wote na alikuwa hata anijui wala simjui" - Salama J

Author

Advertisement

 
Top