Mtalam III Mtalam III Author
Title: ‘Nusu Nusu’ ya Joh Makini yashika nafasi ya 1 kwenye ‘Official African Chart’ ya MTV Base, Fid Q kwenye orodha ya wasanii bora wa Hip Hop Afrika
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Mambo yanazidi kuwa mazuri hasa kwenye upande wa Muziki wa TZ ambapo wasanii wetu wanazidi kufanya vizuri kwenye soko la muziki wa Afrika. ...
Mambo yanazidi kuwa mazuri hasa kwenye upande wa Muziki wa TZ ambapo wasanii wetu wanazidi kufanya vizuri kwenye soko la muziki wa Afrika. Kuna habari nzuri mbili kwa mashabiki wa muziki wa Hip Hop hapa Bongo.

Ya kwanza ni kuhusu Fid Q. Msanii huyo ameingia kwenye orodha ya wasanii 20 bora wa Hip Hop, Afrika. Kwa mujibu wa Jarida la SA Hip Hop, Fid Q ameshika nafasi ya 18.

Ya pili ni kuhusu Joh Makini. Msanii huyo anayefanya poa sana na ngoma yake mpya, Nusu Nusu, unaambiwa kwamba video ya wimbo huo imekamata nafasi ya kwanza kwenye Official African Chart ya MTV base.

Author

Advertisement

 
Top