Msanii wa muziki wa Bongofleva, Alikiba ambaye sasa anafanya vizuri na ngoma yake ya Chekecha Cheketua yupo pande za Kenya akishiriki Coke Studio.
Katika mahojiano aliyofanya na Mseto, Alikiba aliulizwa kwanini hajamfollow hata mtu mmoja kwenye account yake ya Instagram, jamaa akajibu:
“Yea sifollow mtu kwasababu... kwanza kabisa nafanya kazi na watu wengi kuna akina Tuva, kuna watu kibao lakini watu wa Media ndio tuko nao karibu, sasa wengine walikua wakicomplain nikawa naogopa zile lawama nilichoshauriwa na hao wenyewe kwamba ni heri nisimfollow mtu na vile vile nilipenda hivyo kutokana na promotion ya ujio wangu ambao ulikuwa unakuja ili niweze kuconcetrate na account yangu nijue mafans wangu wanataka kitu gani wananiadvice kitu gani na pia imesaidia naona jinsi gani wako serious namimi kwasababu naongea nao, kuna wengine wananipa challenge kuna matusi... uhmm ni vitu vya kawaida na vile vile wanapokuwa wananisema wananijenga wananitengeneza kiasi fulani, wananibadilisha ni wapi nimekosea naweza kubadilisha”