MTV Base wametangaza tayari wasanii watakaotumbuiza kwenye MAMA 2015. Mapema kabisa alitangazwa Ne-Yo. Diamond kutoka Tanzania nae amepata nafasi ya kushare jukwaa moja na mkali huyo kutoka Marekani.
Wasanii wengine watakaotumbuiza ni hawa wafuatao kama walivyotangazwa na MTV Base Africa!
Wasanii wengine watakaotumbuiza ni hawa wafuatao kama walivyotangazwa na MTV Base Africa!
Announcing - #MAMAPerformers: @iam_Davido, @BUCIENQWILISO, @diamondplatnumz, @CassperNyovest & @yemialadee BOOM!! pic.twitter.com/geBkDqE92r
— MTV Base Africa (@MTVbaseAfrica) July 1, 2015
Tuzo hizo zitafanyika July 18, 2015.