Baada ya kupost picha hiyo, baadhi wa followers wake walianza kumshambulia kwa matusi kitu ambacho kilimpelekea kupost tena video yenye caption ‘Yamenifika hapaaa’ akiongea maneno haya:
‘Sasa ndugu zangu tukipost kuhusu Wasanii wenzetu mnatukana, tukikaa kimya tuna roho mbaya…. tufanyeje?? matusi tu hamjali kama watu wana wazazi unamtukania mzazi mwingine kafa, lakini kwa taarifa yenu hainiumi ng’ooo...’ – Ommy Dimpoz