Mtalam III Mtalam III Author
Title: D’Banj kuwashusha Amber Rose na Blac Chyna huko Nigeria kuhudhuria tukio hili
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Sasa  Nigeria wanapata nafasi ya kuwaona live wale madada wanaotisha kwa ku twerk ambao they always break the internet kwa mambo yao wan...
Sasa  Nigeria wanapata nafasi ya kuwaona live wale madada wanaotisha kwa kutwerk ambao they always break the internet kwa mambo yao wanayoyapost kwenye mitandao ya kijamii.

Hapa nawazungumzia Amber Rose na Blac Chyna. Warembo hao wanatarajia kushushwa nchini Nigeria na DBanj. Mtandao wa Bongo5 umeandika hivi:

Staa wa Nigeria, D’Banj anatarajia kuwadondosha Amber Rose na Black Chyna nchini Nigeria kwenye event yake ‘10th Anniversary Movement’ itakayofanyika weekend hii Jan 31, 2015 jijini Lagos. 

Amber Rose na Blac Chyna Ex wa rapper Wiz Khalifa, Amber Rose ndiye atakuwa host wa shughuli hiyo. Kupitia Instagram Amber amethibitisha kwenda Naija kwa kuandika: 

“Lagos, Nigeria I’m coming to Turn Up with my Friend D’banj January 31st for His 10th year Anniversary Weekend! #1 Kokolet @tmerritt234”

Amber Rose ambaye amezaa na rapper Wiz Khalifa na Chyna aliyekuwa na uhusiano na rapper Tyga walianza kuwa karibu sana baada ya mahusiano na wapenzi wao kuvunjika mwaka jana 2014.

Source: Bongo5.

Author

Advertisement

 
Top