Mtalam III Mtalam III Author
Title: Jina la mtoto wa kike wa miezi 9 wa Chris Brown lajulikana
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Ni wiki sasa tangu kusambaa kwa habari kwamba Chris Brown ana mtoto wa kike mwenye umri wa miezi tisa (9) sasa. Lakini mwenyewe bado hajaz...
Ni wiki sasa tangu kusambaa kwa habari kwamba Chris Brown ana mtoto wa kike mwenye umri wa miezi tisa (9) sasa. Lakini mwenyewe bado hajazungumzia kuhusu taarifa hizo kama ni za kweli au not.
Nia na Mwanae (anayesemekana kuwa ni mtoto wa Chris Brown)

Mtoto aliyeripotiwa kuwa ni mtoto wa msanii Chris Brown na mwanamitindo Nia amekuwa chanzo cha kuachana kwa Chris na mpenzi wake Karrueche Tran.  KT amesema hataki kujihusisha na kile anachokiita “Baby drama”.

Habari mpya kuhusu drama hii ni kwamba jina la mtoto huyu wa Nia ni “Royalty” na mpaka sasa haijajulikana kama jina amepewa na Nia au Chris Brown.

Author

Advertisement

 
Top