Habarini za leo? We are back again now! Na leo nataka kushare na nyie info kutoka Udaku Magazine ambao wamekuja na story ya Muigizaji maarufu wa Bongomovies, Jackline Wolper.
Kwa mujibu wa mtandao huo, Jackline Wolper amepost picha hapo chini ambayo imewafanya followers wake wengi kwenye Instagram kusikitika na kusikia uchungu. Udaku Magazine wameandika hivi:
“Leo mrembo na mwigizaji wa filamu hapa bongo, Jackline Massawe Wolper kupitia ukurasa wake wa kwenye mtandao wa INSTAGRAM aliweka picha hiyo hapo juu ya filamu ya NDOA YANGU ambayo alicheza pamoja na marehemu Steven Kanumba na kuandika neno 'DAIMAAAA'
Katika hali isiyokuwa ya kawaida watu wengi walionyesha kupatwa na simamzi na majinzi mazito na wengine kuandika wametokwa na machozi mara baadaya kuona picha hii (hapo juu).
Japo kuwa naamini mwanadada Wolper aliweka picha hii kwania njema na wengi walimtakia kheri marehemu Kanumba na kumsifia kwa kile alichokifanya enzi za uhai wake lakini wapo baadhi ya watu walilamika kuwa picha hii imewarudishia machungu na hivyo kumshushia lawama Wolper alieiweka. Sijui wewe umelichukuliaje hii.”
Source: Udaku Magazine.