Ile kutoelewa iliyotokea kipindi cha nyuma kuhusu uhusiano wa mapenzi kati ya msanii wa BongoFlava, Dayna Nyange na aliyekuwa mshiriki wa Big Brother Africa 2013, Ammy Nando ilikukumba?
Basi kutokana na picha walizokuwa wanatupia kwenye mitandao ya kijamii, watu waliamini mastar hao ni wapenzi japokuwa wenyewe hawakusema. Sasa kama ulikuwa hujui, unatakiwa ufahamu hivi:
Picha zile zilipigwa wakati wakishoot video ya Dayna, ya wimbo wake mpya inayoitwa I Do. So zile picha sio kwamba ziliashiria wawili hao ni wapenzi ila walikuwa kazini. Kwenye video hiyo itakayotoka Aug 01, Ammy Nando ameact kama mpenzi wa Dayna.
Lets wait for the video!!!