Keezywear Editor Keezywear Editor Author
Title: Studios Zimetema: Nyimbo mpya za Bongo Flava zilizotoka wiki hii ‘24 Feb mpaka 01 Mar’
Author: Keezywear Editor
Rating 5 of 5 Des:
As usual, every saturday unakutana tena na  Studios Zimetema , kipengele ambacho kinakusanya nyimbo zote mpya za Bongo flava zilizotoka ndan...
As usual, every saturday unakutana tena na Studios Zimetema, kipengele ambacho kinakusanya nyimbo zote mpya za Bongo flava zilizotoka ndani ya wiki (moja) nzima na kuziweka pamoja ndani ya mtandao wa keezywear.com ili kukuwezesha wewe kuzisikiliza au kudownload kwa pamoja na kwa urahisi.

Wiki hii (24 Feb mpaka 01 Mar) zimetoka nyimbo chache sana, mtandao wako wa keezywear umepata nafasi ya kukuwekea nyimbo hizo. Hizi hapa nyimbo zilizotoka wiki hii

(Bonyeza wimbo ili kuudownload):
  1. Marlaw - No Go
  2. Bonge la Nyau ft Ali Kiba - Uaminifu
  3. Mswaki - Ghetto
  4. Wasanii Mbalimbali - Haki
  5. Shetta ft Diamond - Kerewa
  6. Barnaba - Jasho la Mnyonge
  7. Walter Chilambo - Mavela
  8. Alice - Je Utanipenda

Author

Advertisement

 
Top