Kweli kuna watu wana vibaji vya hatari. Mmoja wa watu hao ni huyu jamaa Babu Ayoub, mtaalamu wa kuigiza sauti za watu mbalimbali maarufu.
Babu Ayoub ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Shikamoo Pesa. Ndani ya wimbo huu kaigiza sauti za watu (wasanii wa hiphop) kama nane hivi, na hajakosea hata kidogo kuanzia sauti mpaka flow zao. Download au sikiliza wimbo huo hapa:
Babu Ayoub