Keezywear Editor Keezywear Editor Author
Title: Studios Zimetema: Nyimbo mpya za Bongo Flava zilizotoka wiki hii ‘09 mpaka 15 Feb’
Author: Keezywear Editor
Rating 5 of 5 Des:
As usual, every saturday unakutana tena na  Studios Zimetema , kipengele ambacho kinakusanya nyimbo zote mpya za Bongo flava zilizotoka ndan...
As usual, every saturday unakutana tena na Studios Zimetema, kipengele ambacho kinakusanya nyimbo zote mpya za Bongo flava zilizotoka ndani ya wiki (moja) nzima na kuziweka pamoja ndani ya mtandao wa keezywear.com ili kukuwezesha wewe kuzisikiliza au kudownload kwa pamoja na kwa urahisi.
Wiki hii (09 mpaka 15 Feb) zimetoka nyimbo chache sana, mtandao wako wa keezywear umepata nafasi ya kukuwekea nyimbo hizo. Hizi hapa nyimbo zilizotoka wiki hii
(Bonyeza wimbo ili udownload):


  1. Ngwair ft Mirror - Alma
  2. Quick Rocka ft Ben Pol - Penzi
  3. Belle 9 ft Baby Madaha - Sababu ni Moja
  4. Hisia - Mawazo
  5. Ben Pol - Unanichora
  6. Madee ft P. Unit & Dijah - Pombe Yangu Remix
  7. AY ft Dela - Asante
  8. Country Boy ft Young D & Young Killa - Akili za Usiku

Author

Advertisement

 
Top