Yaaap aliachia audio ya wimbo wa ‘Akili za Usiku’ like a week ago, now kaachia kichupa chake (video). Namzungumzia Country Boy aka Country Wizy. Rash Don wa Kiri Recs ndio mtayarishaji wa ngoma hiyo.
Kwenye wimbo huu wameshirikishwa Young Dee na Young Killa. Video imetengenezwa na Kwetu Videos (Dir. by Msafiri Shabani). Tazama video hiyo hapa!!!
Home
»
Country Wizy
»
Videos
»
Young Dee
»
Young Killa
» Country Wizy ft Young Dee & Young Killa - Akili za Usiku (Official Video)
Author
Get full package of News, Fashion, Music and Gossip from Tanzania and all over the World! You can also advertise your products, publish your Articles and so much more on Keezywear Blog. Just feel free!