Msanii wa Bongo flava, Diamond
Wimbo wa Diamond washika nafasi ya 1 kwenye kituo kikubwa cha Radio huko Nigeria
Msanii wa muziki wa Bongo flava, Diamond ameonesha kwamba hafanyi vizuri tuu hapa Afrika Mashariki bali Afrika kwa ujumla. Kupitia akaunti yao ya twitter, Radio maarufu nchini Nigeria, The Beat FM ilithibitisha hilo.
Radio hiyo maarufu nchini humo iliupdate kwamba wimbo wa Diamond, Number One umeshika nafasi ya kwanza kwenye African Top 10 jana. Angalia hapa tweet hiyo: