Mtalam III Mtalam III Author
Title: Picha: Utengenezwaji wa video mpya ya Wakazi, ‘Sumu ya Panya (My City)’
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Msanii wa kizazi kipya, Wakazi anatarajia kuachia wimbo wake mpya, Sumu ya Panya very soon. Wakazi ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimb...
Msanii wa kizazi kipya, Wakazi anatarajia kuachia wimbo wake mpya, Sumu ya Panya very soon. Wakazi ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa Touch ambao uliwashika watu alipokuwa akiuperform kwenye jukwaa la Big Brother mwaka jana ameshare baadhi ya picha wakati anafanya video ya wimbo wake huo mpya.
Wakazi was shooting a video yesterday in Dar es Salaam for his upcoming song titled "Sumu Ya Panya (My City)". The video was shot by Hefemi of hefemistudios and is expected to drop soon together with the audio.” - Aliandika Wakazi. Tazama picha hizo hapa:

Wakazi na Manager wake.

Author

Advertisement

 
Top