Mtalam III Mtalam III Author
Title: Studios Zimetema: Nyimbo mpya za Bongo Flava zilizotoka wiki hii ‘24 mpaka 30 Nov’
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Yeeess its saturday already, kutana tena na Studios Zimetema , kipengele ambacho kinakusanya nyimbo zote mpya za Bongo flava zilizotoka nda...
Yeeess its saturday already, kutana tena na Studios Zimetema, kipengele ambacho kinakusanya nyimbo zote mpya za Bongo flava zilizotoka ndani ya wiki (moja) nzima na kuziweka pamoja ndani ya mtandao wa keezywear ili kukuwezesha wewe kuzisikiliza au kudownload kwa pamoja na kwa urahisi.
Wiki hii (24 mpaka 30 Nov) zimetoka nyimbo chache ukilinganisha na wiki zilizopita, mtandao wako wa keezywear umepata nafasi ya kukuwekea nyimbo chache kali. Zifuatazo ndo nyimbo zilizotoka wiki hii (Click any song below to Download):

  1. Godzilla - F**k With Me You Know I Got It
  2. Kimbunga - Siasa
  3. Stamina ft. Criss Wamarya - Mngekuwepo
  4. Steve RnB - Tulikotoka
  5. Madazo ft. Mr Blue - Siwezi
  6. Rado - Chemchem
  7. Amini - Usinipe Robo
  8. Hussein Machozi ft. Sauti Sol - Utapenda
  9. Bonta ft. G Nako - Mitaani Watu Buuuu
  10. Bwana Misosi ft. Namcy - Vuta Raha 

Author

Advertisement

 
Top