Wasanii Shishi The Don na Zino Man wameungana kufanya wimbo unaoitwa Tume Give Up, ni wimbo wa Hip Hop ambao unaelezea namna walivyochoshwa na mambo mbali mbali.
Shishi The Don
Wimbo huu umetayarishwa na Producer Mark Chris chini ya Has Recs, studio iliyopo huko Kampala, Uganda. Jamaa wamerap vizuri sana! Download au Sikiliza wimbo huo hapa: