Mtalam III Mtalam III Author
Title: YouTube Music Awards 2013: Orodha ya washindi wa tuzo hizo iko hapa
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Mwaka huu, YouTube walitangaza kuanzisha tuzo zao kwa mara ya kwanza, YouTube Music Awards (YTMA) ambapo kimsingi kwa asilimia kubwa jana ...
Mwaka huu, YouTube walitangaza kuanzisha tuzo zao kwa mara ya kwanza, YouTube Music Awards (YTMA) ambapo kimsingi kwa asilimia kubwa jana walifanikiwa kuzigawa tuzo hizo. Tukio hilo lilishuhudiwa kupitia Live Streaming kwenye mtandao wao.
Tuzo hizo zimefata vigezo ambavyo vimewekwa na mtandao wa Youtube wenyewe. Video ambazo zilikuwa most played or watched, liked na shared ziliweza kuwa nominated na kupigiwa kura na mwisho wa siku washindi hawa walipatikana:

Video of the Year:
Epic Rap Battles of History – Barack Obama vs Mitt Romney
Demi Lovato – Heart Attack
Girls’ Generation – I Got a Boy
Justin Bieber (feat. Nicki Minaj) – Beauty and a Beat
Lady Gaga – Applause
Macklemore & Ryan Lewis (feat. Mary Lambert) – Same Love
Miley Cyrus – We Can’t Stop
One Direction – Best Song Ever
PSY – Gentleman
Selena Gomez – Come & Get It

Artist of the Year:
Eminem
Epic Rap Battles
Justin Bieber
Katy Perry
Macklemore & Ryan Lewis
Nicki Minaj
One Direction
PSY
Rihanna
Taylor Swift

Response of the Year:
Boyce Avenue (feat. Fifth Harmony) – Mirrors
Jayesslee – Gangnam Style
Lindsey Stirling and Pentatonix – Radioactive
ThePianoGuys – Titanium / Pavane
Walk Off the Earth (feat. KRNFX) – I Knew You Were Trouble

YouTube Phenomenon:
Diamonds
Gangnam Style
Harlem Shake
I Knew You Were Trouble
Thrift Shop

YouTube Breakthrough:
Kendrick Lamar
Macklemore & Ryan Lewis
Naughty Boy
Passenger
Rudimental

Innovation of the Year:
Anamanaguchi – ENDLESS FANTASY
Atoms for Peace – Ingenue
Bat for Lashes – Lilies
DeStorm – See Me Standing
Toroy Moi – Say That


Like Keezywear on Facebook!

Author

Advertisement

 
Top