Mtalam III Mtalam III Author
Title: Picha: Angalia wasanii hawa wa ‘Bongo Movies’ na ‘Bongo Flava’ wanavyofanana
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Kumekuwa na mjadala kuhusu kufanana kwa wasanii hawa wa Bongo Movies, hapa nawazungumzia Wastara Sajuki na Nisha. Hii (chini) ni moja ya pi...
Kumekuwa na mjadala kuhusu kufanana kwa wasanii hawa wa Bongo Movies, hapa nawazungumzia Wastara Sajuki na Nisha. Hii (chini) ni moja ya picha ambayo Wastara aliishare na kuuliza kama wamefanana.
Sasa baada ya hao, kuna mjadala mwingine ukaibuka baada ya Ray C kushare picha akiwa na Recho wa THT. Kilichofata ni kila mtu kusema kwamba wanafanana sana wasanii hao wanaofanya muziki wa Bongo flava. Angalia picha hiyo hapa:

Recho wa THT na Ray C wamekuwa na wanapendana sana kipindi hiki kama mtu na dada yake na watu wamekuwa wakiwafananisha kuanzia sauti mpaka sura (hasa macho).


Like Keezywear on Facebook!

Author

Advertisement

 
Top