Keezywear Editor Keezywear Editor Author
Title: Song: Mike Tee ft Soprano - Unanitenga Sana (produced by Mbezi)
Author: Keezywear Editor
Rating 5 of 5 Des:
Kama unamfatilia Mike Tee basi huu wimbo unaokwenda kwa jina la Unanitenga Sana utaufurahia sana. Kuna kionjo cha wimbo wake mmoja wa za...
Kama unamfatilia Mike Tee basi huu wimbo unaokwenda kwa jina la Unanitenga Sana utaufurahia sana. Kuna kionjo cha wimbo wake mmoja wa zamani, find out which one here!
Kwenye wimbo huu kamshirikishwa Soprano huku mtayarishaji akiwa Producer Mbezi. Bonge la ngoma, hutakiwi kuacha kuisikiliza kama kweli unamkubali Mike Tee aka Mnyalu!!!

Download au Sikiliza wimbo huu hapa:

Author

Advertisement

 
Top