Mtalam III Mtalam III Author
Title: Picha: Urafiki wa wasanii wa Bongo Flava, Madee na Nay wa Mitego
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Ilisemekana kama mwaka moja uliopita wasanii wa Bongo Flava, Nay Wa Mitego na Madee walikuwa na ‘bifu’  kubwa na ilichochewa na mitandao ya...
Ilisemekana kama mwaka moja uliopita wasanii wa Bongo Flava, Nay Wa Mitego na Madee walikuwa na ‘bifu’ kubwa na ilichochewa na mitandao ya kijamii na vyombo vya habari. 
Tatizo kati yao lilikuwa ubabe wa nani anaibeba Manzese na nani ndiye Rais wa Manzese wakati Madee akijiita Rais na Nay akawa akisema hakuna Rais huko Manzese.

Siku zilivyo zidi kwenda walionekana kwenye show tofauti wakiwa pamoja na kupiga show kwenye jukwaa moja bila tatizo. Interviews kwenye radio kuhusu ugomvi wao zilipungua na picha zao wakiwa pamoja zikasambaa, Kwa sasa hawa jamaa ni marafiki wa karibu sana.


Matangazo | Click them for more details:

• Simu aina ya HTC Desire S ‘S510E’ inauzwa kwa bei nafuu
• Simu aina ya ‘Nokia N9’ Inauzwa kwa bei nafuu

Source: Sammisago

Like Keezywear on Facebook!

Author

Advertisement

 
Top