Keezywear Editor Keezywear Editor Author
Title: Diamond akiri kucopy video ya wimbo wa ‘Nana’
Author: Keezywear Editor
Rating 5 of 5 Des:
Mitaani kuna habari zinazungumzwa kuwa video ya ‘Nana’ ya Diamond ni copy & paste ya video ya ‘Moyo Wangu’ . Mwenyewe amesema wak...
Mitaani kuna habari zinazungumzwa kuwa video ya ‘Nana’ ya Diamond ni copy & paste ya video ya ‘Moyo Wangu’.
Mwenyewe amesema wakati anatoa wimbo wa Moyo Wangu hakuwa anajulikana sana kimataifa kama sasa hivi... na alichokifanya kwenye wimbo wake mpya wa Nana ni kuamua kuiboresha na kuiongezea ubunifu kwa kuchukua vitu vichache kwenye wimbo huo wa Moyo Wangu.

Author

Advertisement

 
Top