Akiongea na Millard Ayo, mtangazaji wa Clouds FM wakati wa ugawaji wa tuzo hizo zilizofanyika Durban, Afrika Kusini, Davido alithibitisha hilo kwa kusema:
"I have a song coming out with Ali Kiba too... you kno what am saying. Thats gonna be crazy!" - Davido.
Hata hivyo msanii huyo amekiri kuwa anaizimia Tanzania kwasababu watu wake wanampa support ya kutosha. Davido pia alithibitisha kuwa kutakuwa na ngoma nyingine ambayo amefanya na Diamond.