Umeshaona cover flani hivi ikisambazwa na baadhi ya mastaa wa TZ? Ni ile Artwork cover ya wimbo wa Blu na Navio (Rapper kutoka Uganda)... yes wimbo wao ndio unatoka leo!
Wimbo huo unaitwa Ayaya ambao unasemekana video yake ishafanyika pande za huko Uganda wiki chache zilizopita. Uko tayari kwa kusikiza hii collabo? TZ meets UG!