Anyways, wakali wa muziki wa Hip hop wameachia nyimbo zao kwa pamoja wiki hii. Hapa nawaongelea Juma Nature, Roma akiwa ameshirikishwa na Suma Mnazaleti na wimbo mwingine wa Nikki Mbishi.
Juma Nature kaja na ngoma inayoitwa Komaa, huku Suma Mnazaleti na Roma wakija na Mnazaleti Mkatoliki wakati Nikki Mbishi amekuja na ngoma inayoitwa Michepuko. Download nyimbo zote hapa:
Juma Nature - Komaa

Nikki Mbishi - Michepuko
Suma Mnazaleti ft. Roma - Mnazaleti Mkatoliki
Post by KeeZy Platnums.