Baada ya kimya kirefu hatimaye mkali wa Bongo Flava, Shetta aka Baba Qayllah (wajina wangu) ameachia ngoma mpya kabisa inayoitwa Kerewa.
Kwenye ngoma hii utamsikia mnyama Diamond pia akiwa amefanya yake kwenye chorus na kibwagizo. Wimbo mzuri saaaanaaaa, Download au Sikiliza hapa:
Artwork cover ya wimbo wa Shetta, Kerewa