Msanii wa Bongo flava, MB Dogg
MB Dogg - Umenuna (Audio)
MB Dogg ameruuuuudiiiii na ngoma kali sana. Msanii huyo ambaye amejaribu kurudi mara kadhaa ila ikashindikana ameachia wimbo unaoitwa Umenuna. Hopefully hii sasa itatikisa vibaya mno!
Wimbo huu umekimbia hivi na kuufanya uwe unachezeka vizuri. Nimeshindwa tuu kung'amua nani katengeneza huu wimbo, ila S/O kwake. Download au sikiliza wimbo huu hapa: