Mambo vipi? Its Boxing day today! Kama kawaida ya siku hii, huwa tunafungulia zawadi ambazo tulipewa na watu mbalimbali katika msimu huu wa sikukuu ya Xmas. Leo ninawaletea zawadi ngoma yangu nyingine kama kawaida (huwa natoa ngoma moja kila mwezi kutoka kwenye Mixtape yangu).
Kwenye ngoma hii nimepita kwenye beat ya Meek Mill, Im A Boss. Kama mnanvyonijua KeeZy aka ‘Kiky Boy’ huwa sikosei, this time nimemshirikisha Pivo, wimbo unaitwa Wanaforce. Umetengenezwa na Rabii na mimi mwenyewe. Take your time usikilize nilivyolimurder hili beat na sikiliza kilichozungumziwa ndani. Dope track!!
Kudownload au kusikiliza wimbo huu, Im A Boss Remix a.k.a Wanaforce bonyeza hapa:
Kudownload au kusikiliza wimbo huu, Im A Boss Remix a.k.a Wanaforce bonyeza hapa: