Keezywear Editor Keezywear Editor Author
Title: Song: Noorah ft Dully Sykes & Chegge - Acha Ushamba (produced by Mbezi)
Author: Keezywear Editor
Rating 5 of 5 Des:
  Hapa wamekutana wakongwe wa muziki huu wa Bongo Flava, wimbo unaitwa Acha Ushamba . Ni wimbo wa Noorah akiwa amewashirikisha Dully Sykes...
 Hapa wamekutana wakongwe wa muziki huu wa Bongo Flava, wimbo unaitwa Acha Ushamba. Ni wimbo wa Noorah akiwa amewashirikisha Dully Sykes na Chegge.
Jamaa huwa hakoseagi toka enzi za Vijimambo, huwa anakuja na ideas zake na styles zake mwenyewe!!! Kwenye wimbo huu anajaribu kuelezea watu mbalimbali kwa waache kufanya baadhi ya vitu kwasababu huu ni ushamba.

Download au Sikiliza wimbo huu hapa:

Author

Advertisement

 
Top